

Tunatengeneza bidhaa bora kabisa kutoka hapa hapa Kahama Mjini – Manispaa, Soko la Mkulima Lumambo, Majengo. Karibu ujipatie:
1. Tamba Energy (Biofuel)
Nishati mbadala ya kisasa, salama kwa mazingira, yenye jiko lake maalum. Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara.
2. Tamba Mkaa
Mkaa unaowaka vizuri, wa muda mrefu, na rafiki kwa mazingira.
3. Tamba Soap Safi
Sabuni bora kwa matumizi ya kuogea – inafanya ngozi kuwa laini, huondoa harufu mbaya, fangasi, na husafisha mazingira ya nyumbani au ofisini.
4. Tamba Mboji
Mbolea ya asili yenye virutubisho kamili kwa ajili ya msimu wa kilimo. Wakulima wote mnakaribishwa!
5. Tamba Chalk
Chaki bora kwa matumizi ya mashuleni – ya kudumu, isiyovunjika kirahisi, na salama kwa afya.
Wasiliana Nasi:
Email: [doctortamba4@gmail.com](mailto:doctortamba4@gmail.com)
Simu: 0764 678 552
Director – Tamba Products
Made in Kahama, Tanzania
WOTE MNAKARIBISHWA!


By Mpekuzi
Post a Comment