WOTE WALIKUWA WANASEMA SINA BAHATI KWENYE MAPENZI, SASA NIMEOLEWA NA BILIONEA MZUNGU |Shamteeblog.



Walikuwa wananiita “mshenzi wa mapenzi.” Marafiki zangu wa karibu walinicheka kwa siri, wengine wakisema sijui kuchagua wanaume, wengine wakinihurumia kwa kimya. 

Katika familia, nilikuwa mfano wa “usiotakiwa kufuatwa”ndugu walinitumia kama somo kwa wadogo zangu, “msije kuwa kama dada yenu.”


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post