Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Eblate Mjingo kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI), akichukua nafasi ya Dkt. Simon Mduma ambaye amestaafu.
Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Mjingo alikuwa alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Tiba ya Wanyapori na Huduma za Maabara wa TAWIRI.
Uteuzi wa Dkt. Mjingo unaanza leo Septemba 29, 2020.
By Mpekuzi
Post a Comment