Freeman Aangushwa Ubunge Jimbo la Hai....Aliyeshinda ni Saashisha Mafuwe |Shamteeblog.


Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Hai , amemtangaza Saashisha Mafuwe wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye amepata kura 89,786, akifuatiwa na Freeman Mbowe aliyepata kura 27,684.


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post