NEC yamwagiwa sifa kwa uratibu za zoezi la uchaguzi |Shamteeblog.

Wananchi na viongozi mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaoendelea Tanzania kote ambapo wanachagua rais, wabunge na madiwani watakaoongoza kwa miaka mitano. Kwa upande wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mgombea urais wa chama hicho, Dkt. Magufuli akiwa ameambatana na mkewe, Janeth Magufuli wamepiga kura katika kituo cha Idara ya Maji Ikulu, Chamwino […]

The post NEC yamwagiwa sifa kwa uratibu za zoezi la uchaguzi appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post