IGP Sirro, asisitiza viongozi kulinda amani |Shamteeblog.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka viongozi wa siasa, tume na wadau wengine wa siasa kutimiza wajibu wao katika kulinda amani ya nchi wakati huu wa uchaguzi. “Tunatarajia kumpata rais mmoja atakayechaguliwa na wananchi hivyo kila mmoja ahakikishe anatimiza wajibu wake kudumisha amani iliyopo.”- Amesema IGP Simon Siro. Ameongeza kuwa jeshi […]

The post IGP Sirro, asisitiza viongozi kulinda amani appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post