Na Mwandishi Wetu. Kampuni ya Simu ya ITEL imeitambulisha simu yake aina ya ITEL S16 ambayo ina kamera tatu upande wa nyuma pamoja na mbele na inasifika kwa kukaa na chaji kwa muda mrefu. Akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Afisa uhusiano wa Kampuni ya ITEL Bw.Fernando Wolle amesema kuwa simu aina ya ITEL […]
By Mpekuzi
Post a Comment