Mambosasa awaonya wanasiasa wanaotaka kuandamana Dar es Salaam |Shamteeblog.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amewaonya wanasiasa na wafuasi wao wanaotaka kuandamana jijini Dar es Salaam na kusema kuwa jeshi hilo limejipanga kuwadhibiti. Akizungumza katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere ambapo matokeo ya uchaguzi wa Rais yanatangazwa amesema kuwa baadhi ya wanasiasa wamefanya Dar es Salaam […]

The post Mambosasa awaonya wanasiasa wanaotaka kuandamana Dar es Salaam appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post