TCU YAFUNGUA AWAMU YA TATU YA UDAHILI |Shamteeblog.

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua dirisha la tatu la udahili kwa wanafunzi waliokosa nafasi na wangependa kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo wa 2020/2021. Katibu  Mtendaji wa TCU Prof. Charles Kihampa, amesema wamefikia uamuzi huo baada ya kupata maombi maalum kwa wadau waliotaka kuongezwa muda ili wenye sifa wapate fursa […]

The post TCU YAFUNGUA AWAMU YA TATU YA UDAHILI appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post