Mtoto wa mwisho wa Rais Trump apaka Corona |Shamteeblog.

Mtoto wa mwisho wa Rais wa Marekani Barron Trump, mwenye umri wa miaka 14, alikuwa na COVID-19 bila kuwa na dalili zozote na hivi karibuni alipimwa tena na kupatikana bila ugonjwa huo, mamake na mke wa Rais wa Marekani Melania Trump alitangaza jana.

Wiki mbili zilizopita Rais Donald Trump na mke wake walipimwa na kupatikana na COVID-19. Mara ya kwanza Barron Trump alipimwa, alipatikana bila ugonjwa huo, lakini alipopimwa mara ya pili alipatikana na COVID-19.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post