Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Soka Mkoa wa Dodoma(Dorefa) wamechagua aliyekuwa Mwakilishi wa Klabu Kanda ya Dodoma Singida,Aden Mohammed kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama Cha Soka Mkoa Dodoma ( Dorefa) Akitangaza matokeo leo Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili msomi,Benjamin Karume alimtangaza Aden kuwa mshindi wa nafasi hiyo kwa kupata kura […]
By Mpekuzi
Post a Comment