Awamu ya pili ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kuanzia Morogoro hadi Dodoma umefikia takribani 48%, huku shughuli za ujenzi zikiendelea kwa kasi. Hayo yamesemwa na mhandisi msaidizi wa mradi kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC), Christopher Mangwe’la wakati akitoa maelezo kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na […]
The post Ujenzi wa SGR Morogoro – Dodoma wafikia asilimia 48 appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment