CHELSEA WAHUSISHWA KUMTAKA LIONEL MESSI MSIMU UJAO |Shamteeblog.

Chelsea wanaripotiwa kuwa kutaka kupata huduma za mchezaji nyota wa Barcelona Lionel Messi msimu ujao wa majira ya joto mwakani. Kulingana na mwandishi wa habari wa Uhispania, Guillem Balague. Chelsea wamekuwa wakifuatilia kwa karibu hali ya Messi na miamba hao wa La Laiga. Haya yanakuja miezi michache baada ya nyota huyo mwenye miaka 33, kufahamisha […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post