SIMBA SC YAWAFOKEA WANAIGERIA NYUMBANI KWAO |Shamteeblog.

Klabu ya Simba wameanza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kibabe baada ya kuicharaza Plateau United ya Nigeria ikiwa kwao katika pambano tamu lililopigwa kwenye Uwanja wa New Jos, mjini Jos nchini Nigeria. Bao pekee lililoingizwa kimiani na Clatous Chama katika dakika ya 60 akimalizia kazi nzuri iliyofanywa na Luis Miquissone aliyewatoka mabeki wa Plateau […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post