Dawa za asili kurasimishwa |Shamteeblog.

Akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Novemba 13, Rais, Dkt. John Magufuli amesema anatambua mchango wa dawa za asili katika sekta ya afya. Magufuli amesema hayo akiainisha taswira ya mambo yanayokusudiwa kufanywa katika kuboresha na kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi kwa kuongeza watendaji, miundombinu, vifaa tiba na vifaa kinga. […]

The post Dawa za asili kurasimishwa appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post