Taswira ya miaka mitano ya JPM yaanikwa bungeni |Shamteeblog.

Ikiwa ni hatua nyingine inayoonesha kumalizika kwa uchaguzi na serikali kuanza shughuli zake, Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli leo amefungua rasmi Bunge la 12 ambapo ametaja baadhi ya vipaumbele ambavyo serikali yake itajikita zaidi katika miaka mitano ijayo. Baada ya kutoa shukrani kwa Watanzania na mamlaka mbalimbali kwa namna zoezo uchaguzi lilivyofanyika kwa uhuru, haki […]

The post Taswira ya miaka mitano ya JPM yaanikwa bungeni appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post