Dk. Hsusein Mwinyi Aapishwa Kuwa Rais Wa Zanzibar |Shamteeblog.


 JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi (kulia) kuongoza Zanzibar kwa awamu ya kuanzia 2020-2025 ,sherehe za kiapo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.Picha na Ikulu

By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post