KAA TAYARI KUSHUHUDIA MP64 ZA KAMERA YA NOTE 8 ZINAVYOFANYA KAZI. |Shamteeblog.

Na Mwandishi Wetu. Kama ni NOTE basi si nyengine hiyo ni Infinix NOTE 8 ndio mdahalo uliopo sasa kwenye page ya Infinix XClub Tanzania ‘Http://www.infinix.club’. Kampuni ya Infinix imekuwa ikiaminika kwa mapinduzi wanayoendelea kuyafanya katika soko la simu na hivi punde kupitia picha zilizovuja katika mitandao ya kijamii inasemakana Infinix imejipanga kuendeleza mapinduzi hayo kwa […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post