GRACE HAULE”USHINDI TULIOUPATA CCM NI MCHAKATO WA MUDA MREFU” |Shamteeblog.

Na Mwandishi wetu Katibu wa Umoja wa Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam (UWT) Grace Haule amesema ushindi wa chama Cha Mapinduzi (CCM) uliopatikana katika mkoa huo ni mchakato wa muda mrefu. Kauli hiyo ameitoa mapema leo jijini Dar es Salaam wakati alipokua akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema mikakati walioipanga katika chama hicho […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post