Infinix kuendelea kuwafaidisha wateja wake na promosheni ya Infinix NOTE 8 #Kasikazini. Promosheni hii ilizinduliwa sambamba na simu mpya ya Infinix NOTE 8 mnamo tarehe 19/11/2020 kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano Vodacom Plc.
Infinix kupitia promosheni ya Infinix NOTE 8 #Kasikazini inakupa nafasi ya kujishindia zawadi kemkem kama vile Home theater na zawadi nyengine kutolewa papo hapo kama vile breakfast maker na Gift package yenye bidhaa za Infinix tu pindi ununuapo Infinix NOTE 8/NOTE 8i katika maduka yote ya simu nchini Tanzania
Kupitia promosheni ya Infinix NOTE 8 #Kasikazini Infinix imetangaza majina ya washindi wa promosheni hiyo jana tarehe 26/11/2020 ambao ni Obedi na Felix, promosheni hii kuendelea hadi tarehe 30/11/2020 ambapo washindi wengine watatangazwa live kupitia page ya @infinimobiletz.
Tembelea https://www.infinixmobility.com/ au jiunga na page ya Xclub https://www.infinix.club/ ili kufahamu zaidi kuhusu bidhaa za Infinix.
KWA MAWASILIANO;
0744606222.
By Mpekuzi
Post a Comment