Stars U20 Yapiga 8G |Shamtee.blog

Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20 imeibuka na ushindi wa mabao 8-1 dhidi ya Somalia katika michuano ya Cecafa inayoendelea mkoani Arusha.

Mabao ya Tanzania yalifungwa na Kelvin John dakika za 28,33,55 huku bao la kwanza na la pili yakifungwa na Hamis Seleman Dakika ya 3 na Ben Starkie dakika ya 14 huku Somalia wakionekana kuchoka waliruhusu mabao mengine matatu kupitia kwa Kassim Haruna dakika ya 47 na Frank George dakika ya 65 huku Anuar Jabil akifunga bao la nane na mwisho dakika ya 86.

Kwa ushindi huo tayari timu hiyo imefuzu kuingia hatua ya fainali ya michuano hiyo mikubwa kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati na watakutana na Uganda katika hatua ya fainali.

The post Stars U20 Yapiga 8G appeared first on Sports Leo.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post