MAELFU YA WAKIMBIZI KUTOKA ETHIOPIA WAKIMBILIA SUDAN |Shamteeblog.

Imeripotiwa kuwa takribani Wakimbizi 41,193 kutoka nchini Ethiopia wameyakimbia makazi yao kutokana na machafuko yanayoendelea katika jimbo la Tigray na kuingia nchi jirani ya Sudan. Katika taarifa iliyotolewa na Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR imesema, wakimbizi hao wanaishi katika mazingira duni magumu katrika eneo la mpakani kati ya Ethiopia na Sudan. […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post