MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CCM) Mh Ummy Mwalimu ameanza kazi rasmi za jimbo kwa kutembelea ujenzi na kukagua miradi ya barabara, mifereji na madaraja ya kata nne ambazo ni Mnyanjani, Mabawa, Msambweni na Ngamiani kati za halmashauri ya Jiji la Tanga ambazo zitagharimu kiasi cha sh.bilioni 2.9. Ummy alisema kuwa ameanza kazi kwani Chama […]
By Mpekuzi
Post a Comment