Mkurugenzi Jamiiforums hatiani kwa kuzuia polisi kutekeleza majukumu yao |Shamteeblog.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemhukumu kifungo cha nje kwa masharti ya kutorudia kosa hilo ndani ya mwaka mmoja, Mkurugenzi Mtendaji wa Jamiiforums, Maxence Melo. Melo amehukumiwa kifungo hicho baada ya mahakama hiyo kumtia hatiani kwa kosa la kuzuia jeshi la polisi kutekeleza majukumu yake. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi […]

The post Mkurugenzi Jamiiforums hatiani kwa kuzuia polisi kutekeleza majukumu yao appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post