Mukoko,Yanga Mahaba Tele |Shamtee.blog

Kiungo wa Kimataifa wa Congo anayekipiga Katika klabu ya Yanga Africa ya Dar es Salaam Tanzania Mukoko Tonombe Amesema anaipenda Sana Yanga

Ameyasema hayo kupitia Mtandao wake wa Kijamii wa Instagram Ambapo alikuwa live Huku akitumia Lugha ya Kiswahili Ambayo inaonekana bado hajaifahamu Vizuri kwa Asilimia 100.

“Naipenda Sana Yanga Mimi, Simba hapana kabisa Sina Mpango” Ameongeza kuwa anaitakia Kheri Timu ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars.

Kiungo huyo wa shoka amesema anaamini Tanzania itashinda Kuanzia bao Mbili Huku akimbashiria Kiungo Feisal Salum Kufunga bao Katika mchezo wa leo.

Habari na Mitandao ya kijamii.

The post Mukoko,Yanga Mahaba Tele appeared first on Sports Leo.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post