Serikali ya Ethiopia yaimarisha ulinzi jimbo la Tigray. |Shamteeblog.

Serikali nchini Ethipia imepeleka wanajeshi zaidi katika jimbo la Tigray nchini humo kwa madai ya kuimarisha ulinzi wa amani katika jimbo hilo licha ya baadhi ya jumuiya za kimataifa kutaka kufanyika kwa mazungumzo ili  kumaliza mapigano kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa jimbo hilo la Tigray. Mapema hii leo vikosi vya serikali ya […]

The post Serikali ya Ethiopia yaimarisha ulinzi jimbo la Tigray. appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post