Serikali yatoa neno kwa Diamond, Nandy na Zuchu baada ya kushinda tuzo za AFRIMMA |Shamteeblog.

Serikali imewapongeza wasanii watatu wa Bongo Fleva ambao wameshinda tuzo mashuhuri za muziki duniani AFRIMMA zilizotangazwa jijini Dalas nchini Marekani. Wasanii walioibuka kidedea katika tuzo hizo ni pamoja na Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz ambaye ameshinda kipengele cha Mwanamuziki Bora wa Kiume Afrika ya Mashariki, Faustina Mfinanga maarufu Nandy ambaye ameshinda kipengele cha Mwanamuziki Bora […]

The post Serikali yatoa neno kwa Diamond, Nandy na Zuchu baada ya kushinda tuzo za AFRIMMA appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post