Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imewakifisha Mahakamani washtakiwa watatu wanaohusishwa na matukio ya kuchoma moto bweni la shule ya Sekondari ya Wasichana Uchira na bweni la shule ya Sekondari Ebeneza Sango zote zilizopo wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro. Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari Novemba 5,2020, Oswald Tubabyekomya, Mkurugenzi Utenganishaji wa shughuli […]
By Mpekuzi
Post a Comment