Watatu kizimbani kwa tuhuma za kuchoma moto mabweni ya shule Kilimanjaro |Shamteeblog.

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imewafikisha mahakamani washtakiwa watatu wanaohusishwa na matukio ya kuchoma moto bweni la Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Uchira na bweni la Shule ya Sekondari Ebeneza Sango zilizopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Moshi, Mkurugenzi Utenganishaji wa Shughuli za Mashtaka na Upelelezi katika Ofisi […]

The post Watatu kizimbani kwa tuhuma za kuchoma moto mabweni ya shule Kilimanjaro appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post