Na John Marwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba Novemba 03, 2020 amezindua rasmi mradi wa birika la kunyweshea mifugo katika kijiji cha Kinyeze kilichopo kata ya Mlali wilayani Mvomero mkoani Morogoro ambao ukiwa ni moja ya mradi kati ya miundombinu iliyojengwa kwenye kijiji hicho chenye wafugaji zaidi ya 100 na […]
By Mpekuzi
Post a Comment