Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amewasihi Watanzania kuendelea kumshukuru Mungu kwa wema aliowatendea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kufanyika kwa amani. Ameyazungumza hayo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma akiwa pamoja na wajumbe wa tume ya kitaifa ya maridhiano na wa mkoa wa Dodoma. Aidha, Sheikh […]
The post Watanzania watakiwa kuungana baada ya uchaguzi appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment