Mradi wa Maji Songea kukamilika ndani ya siku 60 |Shamteeblog.

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ametoa miezi miwili kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) kukamilisha ujenzi wa mradi wa maji kijiji cha Litisha katika Halmashauri ya wilaya ya Songea. Mhandisi Sanga ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake ya kukagua na kujionea maendeleo ya mradi huo. “Nimefurahi […]

The post Mradi wa Maji Songea kukamilika ndani ya siku 60 appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post