NGOZI: Zao lenye thamani kubwa |Shamteeblog.

Mwenyekiti Chama cha Uendeshaji Mifugo Tanzania aeleza umuhimu wa lishe katika zao la ngozi leo alipokuwa kwenye mahojiano katika kipindi cha Jambo Tanzania. Dkt. Daniel Komwihangilo amesema bidhaa bora za ngozi zinatokana na ngozi itokanayo na mnyama aliyepata lishe bora. “Wataalam ambao wanahusiana na mambo ya lishe wanahakikisha kwamba mnyama analishwa vizuri ili hatimaye ngozi […]

The post NGOZI: Zao lenye thamani kubwa appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post