Mradi wa umeme wa Nyerere waneemesha maelfu ya vijana |Shamteeblog.

Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (Julius Nyerere Hydro Power Project – JNHPP), umetoa nafasi za ajira kwa vijana wengi wa kitanzania. Akizungumza na wadau mbalimbali leo, katika sherehe ya uchepushaji maji katika Mto Rufiji kwenye handaki, kwa ajili ya ujenzi wa tuta kuu la bwawa litalotumika kuzalisha umeme, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, […]

The post Mradi wa umeme wa Nyerere waneemesha maelfu ya vijana appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post