Wahamiaji Haramu wakamatwa Dar, RC Kunenge Atoa Onyo |Shamteeblog.

Vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Dar es salaam, vimefanikiwa kuwatia mbaroni wahamiaji haramu 36 raia wa Ethiopia na Somalia walioingia nchini kinyume na taratibu, ambapo mkuu wa mkoa huo Aboubakar Kunenge ametoa onyo kali kwa raia wa Tanzania, wanaoshiriki kuwafadhili na kuwasafirisha ili wapate fedha. Kunenge amesema Wahamiaji hao walikamatwa usiku wa kuamkia […]

The post Wahamiaji Haramu wakamatwa Dar, RC Kunenge Atoa Onyo appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post