MREMBO WA UTALII TANZANIA ATUA NJOMBE,WAWEKA MKAKATI KUTEMBELEA VIVUTIO |Shamteeblog.

Na Amiri Kilagalila,Njombe Wananchi mkoani Njombe  wameshauriwa kuenzi na kuvitembelea vivutio vya utalii vilivyopo ndani ya maeneo yanayowazunguka kwa lengo la kufahamu vyema rasilimali za taifa zilizopo Nyanda za Juu Kusini. Rai hiyo imetolewa na mwakilishi wa mkoa wa Njombe katika shindano la mrembo wa utalii Tanzania, Zawadi Mwambi wakati alipotembelea ofisi za mkuu wa […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post