Kaki Mwihaki aibuka na Asante |Shamteeblog.

NA CHRISTOPHER MSEKENA

BAADA ya kufanya vyema na wimbo, Tabibu, mwimbaji wa Kimataifa mwenye asili ya Kenya anayeishi Marekani, Kaki Mwihaki, amerudi kivingine na audio ya ngoma, Asante.

Kaki, ameliambia MTANZANIA kuwa kuwa wimbo Asante umebeba shukurani kwa Mungu kwa mambo mengi ambayo ameendelea kuyatenda huku akiimba kwa lugha mbalimbali.

“Naishukuru timu yangu yote kwa ushirikiano na MHM kwa kuwezesha wimbo huu kupatikana kwenye mitandao mbalimbali ya muziki hapa duniani, sasa mashabiki wote wanaweza kupata Asante na watabarikiwa, naamini ujumbe utawafikia wengi,” alisema Kaki.



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post