RAIS MAGUFULI AMTEUA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA |Shamteeblog.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John  Pombe Magufuli amemteua tena mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Jina la Majaliwa limesomwa leo Alhamisi Novemba 12, 2020 bungeni mjini Dodoma na Spika Job Ndugai ili liidhinishwe na chombo hicho cha Dola. Uteuzi huo unamfanya Majaliwa kuendelea na wadhifa aliokuwa nao […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post