WABUNGE 15 WANAOTETEA DEMOKRASIA HONG KONG WAJIUZULU |Shamteeblog.

Wabunge 15 wanaotetea demokrasia Hong Kong wamejiuzulu, wakipinga hatua ya wabunge wengine wanne kufukuzwa, hatua inayolifanya bunge kukosa upinzani wa kutosha. Mapema Jumatano uongozi wa Hong Kong uliwafukuza wabunge wanne kwa sababu za “usalama wa kitaifa” bila kuwafikisha mahakamani na bila kutoa taarifa zaidi. Sheria mpya inauruhusu uongozi wa mji huo kuwafukuza wabunge bila ya […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post