Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi atangaza Baraza la Mawaziri |Shamteeblog.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefaanya uteuzi wa baraza la mawaziri ambapo baraza hilo lina jumla ya wizara 15. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Ikulu, Zanzibar, Dkt. Shein amesema kuwa amefanya mabadiliko mbalimbali ikiwa ni kupangua baadhi ya wizara, kuhamisha nyingine, lengo likiwa kuongeza ufanisi katika […]

The post Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi atangaza Baraza la Mawaziri appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post