Watanzania wametakiwa kuacha kutumiwa na watu wasiokuwa na nia njema kwa Taifa ili kusababisha machafuko na uvunjifu wa amani. |Shamteeblog.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro wakati akizungumzia hali ya usalama nchini na kutoa tathmini ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu. “Tumewakamata watuhumiwa katika maeneo mbalimbali ambapo visiwani Zanzibar tumekamata mabomu ya kienyeji yaliyokuwa yameandaliwa kulipua kwenye visima vya mafuta na ofisi ya ZEC, ila tuliwahi kuwadhibiti,” […]

The post Watanzania wametakiwa kuacha kutumiwa na watu wasiokuwa na nia njema kwa Taifa ili kusababisha machafuko na uvunjifu wa amani. appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post