TANESCO YAKUTANA NA MAELFU YA WATEJA WAKE, SHINYANGA |Shamteeblog.

  Kupitia maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini yanayofanyika viwanja vya Butulwa Mkoani Shinyanga, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata fursa ya kukutana na maelfu ya wateja wake wa Mkoa wa Shinyanga. Akizungumza katika Banda la Tanesco lililopo katika viwanja hivyo, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zaynab Talack amewataka Wananchi kutembelea Banda la […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post