TBC yapewa kongole kwa ushirikiano mzuri na Chuo Kikuu cha Iringa |Shamteeblog.

Chuo Kikuu cha Iringa kimelipongeza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kuwapokea, kuwalea na kuwakuza wahitimu wa tasnia ya habari kutoka chuoni hapo. Chuo hicho kimetoa pongezi hizo leo mbele ya Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha wakati wa mahafali chuoni hapo na kueleza kuwa licha ya soko la ushindani, TBC imeendelea kufungua […]

The post TBC yapewa kongole kwa ushirikiano mzuri na Chuo Kikuu cha Iringa appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post