UMMY MWALIMU MBUNGE WA TANGA MJINI AMEFANYA ZIARA BANDARI YA TANGA AHIDI KUWA BALOZI WA KUITANGAZA |Shamteeblog.

MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea Bandari ya Tanga na kufanya mazungumzo na uongozi wake kuona namna inavyofanya shughuli zake huku akiwahaidi kuwa balozi wao katika kuitangaza ili kuvutia wafanyabiashara kuitumia. Ummy ambaye alifika Bandarini hapo ikiwa ni ziara yake ya siku moja kuona namna uboreshwaji wa Bandari hiyo […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post