Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka zote za udhibiti zihakikishe kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili maonesho mbalimbali zinakuwa na viwango vya kimataifa na pia bidhaa zisizo na viwango na bidhaa bandia hazipati nafasi ya kuingia kwenye soko la Tanzania. Aidha, amewataka wamiliki wa viwanda wazalishe bidhaa kwa wingi na kwa kutumia malighafi zinazopatikana katika […]
The post Agizo la Waziri Mkuu kuhusu bidhaa zinazoingizwa nchini appeared first on Tanzania Broadcasting Corporation.
By Mpekuzi
Post a Comment