Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametoa siku 30, kukamilishwa kwa mradi wa maji wa zaidi ya shilingi bilioni 9 unaotekelezwa katika Halmashauri ya Arusha. DC Muro, amefikia hatua hiyo ya kutoa siku 30, wakati wa ziara ya kazi ya kukagua miradi ya maji ambapo amesema mradi huo unapswa kukamilika ndani ya siku […]
By Mpekuzi
Post a Comment