ATUPWA JELA KWA KUMJERUHI MTOTO WA MME WAKE |Shamteeblog.

KIGOMA: Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu kwenda jela miaka miwili (02) Bi. Agnes Damian (40) mkazi wa Mji Mwema Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa kosa la kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili binti wa miaka 15 ambaye ni mtoto wa mume wake. Akisoma hukumu hiyo Hakimu Eva Mushi amesema adhabu hiyo inapaswa kuwa […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post