LUKA MODRIC ATAMANI KUMALIZIA SOKA REAL MADRID |Shamteeblog.

Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric, ameendelea kusema anataka kuona anamalizia kipindi chake cha kucheza soka kwenye kikosi hicho ikiwa imebaki miezi nane na kikosi hicho. “Bado najisikia vizuri sana, suala la michezo ambayo sijacheza nafikiri haya ni maamuzi ya kocha nasiyo mimi, kama ikitokea natakiwa kucheza nitaitumikia timu yangu kwa moyo wote. “Nimekuwa nikisema […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post