JOE BIDEN ATEUA MAAFISA WA NGAZI YA JUU KUSIMAMIA UCHUMI |Shamteeblog.

WASHNGTONE DC: Rais mteule wa Marekani Joe Biden ameteua maafisa wa ngazi ya juu kusimamia uchumi wa Marekani unaoathiriwa na janga la virusi vya Corona. Miongoni mwa walioteuliwa ni aliyekuwa mwenyekiti wa Benki Kuu ya Marekani Janet Yellen, ambaye anakuwa mwanake wa kwanza kuwa waziri wa fedha katika historia ya miaka 231 ya wizara hiyo. […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post