HALIMA MDEE NA WENZAKE WADAI BADO WAO NI WANACHADEMA |Shamteeblog.

DAR ES SALAAM: Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA), Halima Mdee amesema yeye na wenzake 18 bado ni wanachama wa chama hicho kwani wanakipenda na kukiheshimu. Mdee akiambatana na wenzake amezungumza hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Da es Salaam baada ya kuwepo kwa sintofahamu tangu Mwenyekiti wa chama […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post